30 Oktoba 2024, Dar es Salaam. Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imezindua ofa ya “Safiri Zaidi, Lipa Kidogo” kwa abiria wake wanaosafiri kati ya Zanzibar – Dubai pamoja na Dar es Salaam – Johannesburg. Uzinduzi huu umehusisha mapokezi ya abiria wa kwanza wa Air Tanzania waliowasili kupitia Kiwanja cha Kimataifa cha Abeid Amani Karume, Zanzibar... Read More