MKUU wa wilaya Kaskazini ‘A’, Othman Ali Maulid, akipokea zawadi ya ndizi kutoka kwa Pandu Mahmoud Pandu mwanachama wa mtandano wa wakulima wadogo wadogo (MVIWATA) katika Mkutano wa mwaka kanda ya Zanzibar uliyofanyika baraza la mji wilaya ya kaskazin B Kinduni. (PICHA NA MPIGA PICHA) NA FAUZIA MUSSA WAKULIMA wadogo wadogo wametakiwa kutumia fursa za... Read More