Mganga Mkuu Mkoa wa Iringa Dkt. Feith Mamkwe. Mganga Mkuu Mkoa wa Iringa Dkt. Feith Mamkwe ametoa wito kwa Watoa Huduma za Afya kutoka Vituo vya kutolea Huduma za Afya kufanya Kazi Karibu na Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii(CHWs) katika utoaji wa Huduma za Chanjo . Dkt. Mamkwe amebainisha hayo Mkoani Iringa katika Ufunguzi... Read More





