Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameziagiza sekta zote zilizoguswa kwenye Ripoti ya Jiolojia na Utafiti wa Madini kuyafanyia kazi maeneo yao kwa kushirikiana na Wizara ya Maji, Nishati, na Madini ili ripoti hiyo ilete tija kwa taifa. Alisema, matumizi sahihi ya ripoti hiyo yatachangia uwekezaji utakaozalisha ajira... Read More