Serikali ya Tanzania na Cuba zimesisitiza kukuza ushirikiano wa kimkakati ili kuendelea kuimarisha ushirikiano wa kihistoria na kindugu ulioasisiwa na waasisi wa mataifa hayo mawili Baba wa Taifa Hayati, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere wa Tanzania na Hayati, Fidel Castor Ruz wa Cuba. Msisitizo huo umetolewa wakati wa Mkutano wa Kwanza wa Tume ya Pamoja ya... Read More