Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama ameitaka Bohari ya Dawa nchini (MSD) kusimamia viwanda vya ndani vinavyozalisha bidhaa za afya ikiwemo dawa, maji dawa (dripu) ili kuviwezesha viwanda hivyo kuendelea kukua na kuimarisha uchumi wa nchi. Waziri Mhagama amesema hayo Februali 18, 2025 baada ya kutembelea viwanda vinavyozalisha bidhaa za afya ikiwemo kiwanda cha Pharmaceutical,... Read More











