Donald Trump na Vladimir Putin wanaweza kukutana mapema mwezi huu, ingawa mkutano wa ana kwa ana utachukua muda kujiandaa, msemaji wa Kremlin Dmitry Peskov amesema, kulingana na mashirika ya habari ya Urusi. Peskov alisema mazungumzo ya Marekani na Urusi yaliyofanyika Jumanne mjini Riyadh ni “hatua muhimu” kuelekea kufikia suluhu kuhusu vita. Lakini alisema uhusiano kati... Read More





