Na Philomena Mbirika, Ngorongoro. Ujumbe wa wataalam kutoka jamhuri ya Cuba wakiambatana watalaam wa uhifadhi kutoka Wizara ya Maliasilii na Utalii wametembelea bonde la kreta lililopo Eneo la Hifadhi ya Ngorongoro kwa ajili ya kuona hali halisi ya uwepo wa mimea vamizi ndani ya Bonde hilo. Akizunguza wakati wa ziara hiyo iliyofanyika leo Februari 18,... Read More










