Na Mwandishi Wetu, Manyara WAZALISHAJI wahimizwa kuthibitisha ubora wa bidhaa wanazozalisha ili waweze kuuza bidhaa zao nje ya soko la Afrika Mashariki na pia kunufaika na sera ya Local Content. Rai hiyo imetolewa Meneja wa TBS Kanda ya Kaskazini, Mhadisi Joseph Ismail, kwenye maonesho yaliyoandaliwa na Chemba ya Wafanyabiashara, wenye Viwanda na Kilimo (TCCIA) yanayofanyika... Read More