Na Mwandishi Wetu WANAFUNZI wa shule ya Kimataifa ya Msingi Hazina ya Magomeni jijini Dar es Salaam, wameonyesha umahiri mkubwa kwenye siku ya Umoja wa Mataifa (UN) kwa kutoa mada zilizowavutia wageni waalikwa. Wanafunzi hao walialikwa kutoa mada kwenye sherehe za miaka 79 tangu kuanzishwa kwa Umoja wa Mataifa (UN) ambapo Waziri wa Ulinzi, Stegomena... Read More