Na Mwandishi Wetu Mkurugenzi wa Uwekezaji Ofisi ya Msajili Hazina Lightness Mauki amesema uwekezaji wa serikali katika mashirika ya umma nchini umefikia shilingi trioni 86 kufikia mwaka 2024 hivyo amewataka Viongozi wa mashirika ya umma kuhamasisha wananchi wanapata tija kwa uwekezaji huo. Amesema hayo wakati akifunga Mafunzo kwa viongozi wa Taasisi na Mashirika ya... Read More