*Vibali vituo vipya CNG vyatolewa, gharama za leseni zapunguzwa *Morogoro, Makambako, Mbeya kutumika kushusha mafuta kutumia bomba la mafuta *Afungua Baraza la Wafanyakazi EWURA *Asisitiza mazingira mazuri, mafunzo kwa Watumishi Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameuagiza uongozi wa Mamlaka... Read More










