Na Mwandishi wetu, Longido. Serikali imeombwa kufanya maboresho ya sheria ya ukatili wa kijinsia ili kutoa adhabu kali kwa wanaokeketa watoto baada ya kubainika kuibuka mbinu mpya ya kukeketa watoto wa kike wakiwa chini ya miaka miwili Wilayani Longido, Mkoani Arusha. Wakizungumza katika kongamano la kupinga ukeketaji Wilaya ya Longido lililoandaliwa na Taasisi ya wanahabari... Read More









