MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akivishwa Shada la Maua na Kijana wa Chipukizi Alham Said Bakar, alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Chakechake Pemba, kwa ajili ya mapokezi yaliyofanyika leo 15-2-2025, baada ya kuteuliwa kuwa mgombea mteule... Read More









