Na Mwandishi Wetu SERIKALI imesema iwe jua ama mvua itajenga Kongani ya viwanda vya kuchakata mazao ya mikoa ya kusini kwa gharama ya zaidi ya sh. Bilioni 300. Akizungumza katika mwendelezo wa ziara yake mkoani Mtwara Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe,(Mb) amesema iwe jua ama mvua itajenga Kongani ya viwanda vya kuchakata mazao ya... Read More