Na Mwandishi Wetu SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar, imesema Bodi ya Mikopo ya Tanzania (HESLB) imeonyesha dhamira ya kweli kuwahudumia wanafunzi kwa kutoa mikopo kwa usawa bila ubaguzi wala upendeleo. Hayo yamesemwa na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali, Lela Muhamed Mussa kupitia hotuba yake iliyosomwa na Katibu Mkuu Wizara hiyo, Khamis Abdalla... Read More









