Na.Mwandishi Wetu -Arusha Jumla ya Shilingi Bilioni 1.5 imetengwa kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya Wakala ya Vyuo vya Mafunzo ya Mifugo nchini (LITA) Kampasi ya Tengeru iliyopo Mkoani Arusha kupitia ushirikiano uliopo kati ya Serikali ya Tanzania na Poland. Akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya kutembelea kampasi hiyo, Katibu Mkuu Wizara ya... Read More