Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya (kulia) akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kufungua Mkutano kati ya Taasisi ya Wakaguzi wa Ndani Tanzania (IIA) na viongozi wa taasisi za umma na sekta binafsi, kushoto ni Rais wa Wakaguzi wa Ndani Tanzania, Dk. Zelia Njeza akifuatilia. Mkutano kati ya Taasisi... Read More