Na Emmanuel Massaka Michuzi TV MWENYEKITI wa UVCCM Kata ya Mabwepande Andrew Mashimba amesema kuwa uchaguzi wa mwaka huu ndani ya Chama hakuna kukatwa ambapo mshindi wa kwenda kugombea katika nafasi ya mwenyekiti wa Mtaa na wajumbe watapatikana kwenye boksi la kura. Viongozi wote watapigiwa kura na wanachama hivyo hakuna mtu atapita Kwa ... Read More