*Asema wananchi wana wajibu wa kufuatilia utekelezaji wa miradi kwenye maeneo yao *Aeleza umuhimu wa Sensa ya Watu na Makazi katika kuleta maendeleo Naibu Waziri wa Nishati na Mbunge wa Viti Maalum Vijana Taifa, Mhe. Judith Kapinga amesema dhamira ya Serikali ni kuona wananchi wanashirikishwa katika kufanya maamuzi ya maendeleo katika maeneo yao. Aidha, Viongozi... Read More