Mhandisi Msimamizi wa Miradi ya Umeme REA Kanda ya Kusini, Mhandisi Deogratius Nagu akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa miradi ya umeme Mkoani Ruvuma kwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Ahmed Ahmed Septemba 30, 2024 wakati wa kumtambulisha Mkandarasi Kampuni ya CCC Intrnational Nigeria Ltd (hayupo pichani) anayetekeleza mradi wa kusambaza umeme vitongojini mkoani humo.... Read More