Jina langu ni Mama Jesca kutokea Mwanza, Tanzania, nina watoto watatu, wawili wapo shule, mwingine yupo darasa la sita, mdogo wake yupo darasa la nne. Wanangu kila walipokuwa wakifanya mtihani walikuwa wanafeli. Jioni wakirudi kutoka shule nikawa nawapa mifano ya watoto wawili. Wanafunzi wawili wanaotoka kufanya mtihani unaofanana, wote wanatoka wamefurahi kwenye chumba cha mtihani.... Read More