*Bilioni 38 zaongezwa kuondoa ukata kwa wanafunzi kutoka 200,000 hadi 530,000 Na Chalila Kibuda,Michuzi TV Serikali kupitia Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu Juu (HESLB) kwa mwaka wa masomo 2024/2025 imetanga Shilingi bilioni 787 Kwa ajili ya jumla ya wanafunzi 245,799. Hayo ameyasema Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi hiyo Dkt.Bill Kiwia wakati akitangaza orodha ya... Read More