Watumishi 91 waliopata ajira mpya Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na waliohamia 11 wametakiwa kutoa huduma bora kwa wananchi wanaofika Hospitali hapo. Akizungumza leo katika ufunguzi wa mafunzo elekezi kwa watumishi hao, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa MNH, Dkt. Julieth Magandi amewataka watumishi kutoa huduma bora zaidi kwa wananchi ambao hufika hospitalini hapo kwa... Read More









