Happy Lazaro , Arusha . Makamu wa Rais wa Tanzania Dkt Philip Mpango ametoa rai kwa mamlaka ya serikali mtandao (e-GA) kukamilisha mchakato wa kusanifu na kujenga mfumo mkuu wa ubadilishanaji taarifa serikalini.na kuhakikisha taasisi zote za umma zinajumuishwa katika mfumo huo. Ameyasema hayo.leo mkoani Arusha wakati akifungua kikao kazi cha tano cha mamlaka ya serikali.mtandao... Read More










