Na Mwandishi Wetu, Morogoro
Shirikisho la Michezo ya Wizara, Idara, Wakala za Serikali na Ofisi za Wakuu wa Mikoa Tanzania (SHIMIWI) pamoja na baadhi ya klabu zake zinazoshiriki kwenye michezo ya mwaka 2024 mkoani Morogoro, wamepata udhamini wa vifaa na jezi kutoka Benki ya NMB. Akikabidhi vifaa ambavyo ni mipira ya michezo ya soka na... Read More