WANANCHI wa Kijiji cha Lundo, Kata ya Lipingo, Wilaya ya Nyasa wamehakikishiwa kuwa na kilimo cha umwagiliaji cha uhakika kufuatia Serikali kuanza ujenzi na ukarabati wa skimu nane za umwagiliaji eneo hilo. Wakulima hao wanalima zaidi mazao ya mpunga, muhogo, michikichi, mipera, kahawa na mengine. “Changamoto zetu zaidi ni skimu za umwagiliaji zinahitajika kutokana... Read More