Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Viongozi wakuu wa nchi za Afrika na China 🇨🇳 mkutano unaotarajiwa kuaanza tarehe 4-6 Katika ziara hiyo nchini China 🇨🇳 Atashiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC). Atahutubia ufunguzi wa mkutano wa FOCAC. Atafanya... Read More