Na Lucas Raphael, Tabora Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi ,Maliasili na Utalii imeipongeza serikali ya awamu ya sita kwa kuweza kukamilisha mradi wa jengo la maktaba katika chuo cha Ardhi ,kampasi ya Tabora, mradi uliosimama takribani miaka kumi (10) iliyopita, na mradi huu hadi kukamilika kwake umegharimu zaidi ya shilingi bilioni 2. Pongezi... Read More











