*Asema mchango wa Aga Khan wa kuigwa katika kusaidia jamii Na Mwandishi Wetu Mkurugenzi wa kampuni ya MOIL Company Ltd Altaf Hiran amesema kuwa kifo Kiongozi Mkuu wa 49 wa Madhehebu ya Shia Ismailia na mwanzilishi wa Mtandao wa Maendeleo wa Aga Khan (AKDN), Mtukufu Aga Khan amejifunza namna ya kuenzi kuipenda jamii katika kuisadia... Read More











