Na Ashrack Miraji Fullshagwe Media Mjumbe wa Timu ya Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia Legal Aid (MSLAC) Bi.Angelina Sampa amesema mwanamke ana haki ya kumiliki Ardhi na Mali nyingine na anayo haki ya kushirikishwa pale Mali ya familia inapouzwa. Akitoa Elimu ya umiliki wa Ardhi kwa wananchi wa Kijiji cha Kirore Kata... Read More










