*Dodoma Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa, amewataka watendaji na watumishi wa Wizara ya Madini na taasisi zake kuongeza bidii na ufanisi katika kazi zao ili kuhakikisha Sekta ya Madini inafanikisha lengo la kuchangia asilimia 10 ya Pato la Taifa ifikapo mwaka 2025. Akizungumza leo Februari 8, 2025, katika Bonanza la Madini lililofanyika kwenye... Read More









