Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeipongeza Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mafanikio iliyoyapata katika kukuza utalii huku likiipitisha taarifa ya kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii kuhusu shughuli za kamati hiyo kwa kipindi cha Februari,2024 hadi Januari, 2025. Akizungumza katika Mkutano wa 18, Kikao cha 9 cha... Read More










