Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni amewasili nchini Tanzania na kupokelewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, leo tarehe 08 Februari 2025 Rais Museveni atashiriki Mkutano wa Dharura wa Pamoja Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Afrika... Read More









