…………. Na Saidi Lufune – Dodoma Chuo kikuu cha Dodoma kupiti Idara ya Historia na Akiolojia kimeendelea kuunga Mkono jitihada za Wizara ya Maliasili na Utalii katika kulinda na kuhifadhi urithi wa malikale na utamaduni wa kitanzania kupitia maonesho ya kabila la Wagogo ili kusaidia kurithisha urithi huo adhimu kwa jamii. Hayo yamesemwa katika ukumbi... Read More











