N𝘢 𝘑𝘢𝘮𝘦𝘴 𝘒𝘢𝘮𝘢𝘭𝘢, 𝘈𝘧𝘪𝘴𝘢 𝘏𝘢𝘣𝘢𝘳𝘪 – 𝘕𝘻𝘦𝘨𝘢 𝘔𝘫𝘪. Watanzania wameaswa kuacha dhana potofu kwamba vyakula vilivyoongezwa virutubisho lishe vinapunguza nguvu za kiume. Badala yake, wametakiwa kula vyakula hivyo kwa manufaa ya kiafya, ikiwa ni pamoja na kuimarisha kinga ya mwili na kuulinda mwili na magonjwa mbalimbali. Hayo yamebainika katika kikao cha lishe cha Halmashauri ya... Read More











