Mradi wa ujenzi wa bwawa kubwa la maji la Kidunda linalojengwa mkoani Morogoro ambalo litahifadhi zaidi ya lita bilioni 190 na lenye matumizi mbalimbali katika mkoa wa Morogoro umefikia asilimia 27 kukamilika 2026. Bwawa hilo linajengwa ili kuimarisha upatikanaji wa maji hasa katika mikoa ya Dar es Salaam na Pwani, kupunguza mafuriko, na kuboresha uvuvi... Read More










