Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisaini kitabu cha Maombolezo ya Msiba wa marehemu Sekunda Massawe ambaye ni Mama mzazi wa Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Adolf Mkenda alipowasili nyumbani kwa familia hiyo Kijiji cha Nduweni Tarakea Wilayani Rombo Mkoani Kilimanjaro. Tarehe 06 Februari 2025.... Read More









