Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign) imewafikia wananchi 161,154 katika Mkoa wa Geita ambapo kati yao wanaume ni 80,810 na wanawake ni 80,344. Hayo yamebainishwa na Mratibu wa Kampeni hiyo Mkoa wa Geita Wakili wa Serikali Candid Nasua wakati akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa kampeni hiyo kwa Katibu... Read More




