Maelfu ya watu kutoka Deir Al-Balah katikati mwa Ukanda wa Gaza wameshiriki katika mazishi ya afisa mkuu katika tawi la kijeshi la Hamas, Brigedi za Al-Qassam. Kifo cha Ghazi Abu Tama’a kilitangazwa rasmi siku chache zilizopita. Msemaji wa Brigedi za Al-Qassam, Abu Obeida, alithibitisha kuwa kamanda wao mkuu, Mohammad Al-Deif, aliuawa pamoja na maafisa wengine... Read More



