Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa Tuzo Maalum ya Kimataifa ya The Global Goalkeeper Award inathibitisha kuwa dunia imetambua juhudi za Tanzania katika kuboresha huduma za afya, hususan kupunguza vifo vya akina mama wajawazito na watoto chini ya miaka mitano. Rais... Read More










