Kliniki moja huko Hais, magharibi mwa Yemen, imejaa watu wanaodhaniwaa kuwa na kipindupindu baada ya mvua kubwa na mafuriko kuikumba nchi hiyo. Eneo hili, ambalo limeathiriwa na vita kwa muongo mmoja, linakabiliwa na wimbi la wagonjwa huku wahudumu wa afya wakipambana kwa nguvu kubwa. Daktari Bakil al-Hadrami ameeleza kwamba wingi wa wagonjwa umeongezeka kutokana na... Read More