NA VICTOR MASANGU,PWANI Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama cha mapinduzi (CCM) Taifa Taifa Hamoud Juma (MNEC) kupitia wazazi katika juhudi za kukiimarisha chama ameahidi kuchangia mifuko 100 ya saruji kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa nyumba ya mtumishi wa jumuiya wa wazazi Wilaya ya Kibaha mjini. Juma ametoa ahadi hiyo wakati alipokuwa... Read More





