Johannesburg, Afrika Kusini – 13 Septemba 2024 – Benki ya CRDB inayo furaha kutangaza kukamilika kwa makubaliano ya kuwezesha Mradi wa Uchimbaji wa Madini ya Grafiti wa Mahenge nchini Tanzania, unaoongozwa na kampuni Faru Graphite Corporation. Hatua hii muhimu inathibitisha kukamilika kwa mchakato wa upatikanaji wa Dola za Kimarekani milioni 179 zinazohitajika kutoka kwenye taasisi... Read More