Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akizungumza na Wataalamu kutoka Shirika la Sick Kids International la nchini Canada walipotembelea taasisi hiyo hivi karibuni kwaajili ya kuangalia namna ambavyo watashirikiana na JKCI katika kutoa huduma za kibingwa za matibabu ya moyo kwa watoto. Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya... Read More










