Na Mwandishi Wetu,Dodoma MWENYEKITI Bodi ya Uongozi Tume ya Taifa ya Umwagiliaji Dkt. Richard Masika amekiri kuridhishwa na hatua zinazofanywa na Tume katika utekelezaji miradi ya Umwagiliaji ikiwemo mradi wa ujenzi bwawa la Umwagiliaji Membe lililopo wilayani Chamwino mkoani Dodoma. Dkt. Masika ametoa kauli hiyo baada ya kufanya ziara katika bwawa hilo ambapo kwa sasa... Read More









