Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi ametoa wito kwa taasisi zote za kisheria na wadau wa haki nchini kutumia mifumo ya kidijitali kupata takwimu sahihi zitakazowawezesha kufuatilia migogoro yote waliyoisikiliza ili kuhakikisha inamalizika kwa mafanikio. Dkt. Possi ametoa wito huo leo tarehe 01 Februari, 2025 alipotembelea mabanda ya maonesho ya taasisi mbali mbali nchini... Read More










