Na. Edmund Salaho – Saadani. Kamishna wa Uhifadhi TANAPA, Musa Nassoro Kuji leo tarehe 01, Februari 2025 ameishukuru Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii kwa kuboresha miundombinu ikiwemo Barabara ambazo kwa kiasi kikubwa zimechangia ongezeko la wageni katika Hifadhi ya Taifa Saadani. Kamishna Kuji ameyasema hayo wakati wa Kikao kazi kilichofanyika katika Hifadhi ya... Read More
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania February 2, 2025,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya. The post Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 2, 2025 first appeared on Millard Ayo.
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam February 2, 2025, nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania. The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 2, 2025 first appeared on Millard Ayo.
Na Mwandishi wetu, Mirerani WAFANYABISHARA wa madini ya Tanzanite wa mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wamempongeza Mkurugenzi wa kampuni ya Chusa Mining LTD, Joseph Mwakipesile kwa kufanikisha mnada wa madini kwenye eneo hilo. Katika mnada huo uliofanyika ndani ya ukuta unaozunguka migodi ya madini ya Tanzanite gramu 4,874.16 za madini ya Tanzanite... Read More
Na Baltazar Mashaka, Mwanza WAISLAMU mkoani Mwanza, kwa kushirikiana na viongozi wa dini na siasa,wamemuombea dua Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, wakisema kuwa maendeleo makubwa yanayoendelea kutekelezwa chini ya uongozi wake ni ishara ya upendo na umoja wa kitaifa. Dua hiyo imefanyika nje ya Msikiti wa Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally, leo na kuhusisha viongozi... Read More
Jina langu ni Athumani, kazi yangu hapa Moshi ni dereva Bajaji, nimefanya kazi hii kwa miaka zaidi ya 10 lakini changamoto nilizokutana nazo ni kubwa mno kuliko mwenzangu hapa mjini. Nakumbuka kipindi naanza kazi hii sikuwa na Bajaji yangu bali nilikuwa nafanya kazi kwa Bosi mwenye Bajaji na kila mwisho wa wiki nampelekea fedha zake... Read More
KAMPUNI ya Meridianbet wamekuja na ofa ya kibabe kwa wateja wao ambao wamejisajili kwenyetovuti yao, Ambapo watapata nafasi ya kujishindia bonasi ya shilingi 10,000 hii ni kwa mara ya kwanza bonasi ya namna hii inawekwa. Meridianbet wamekua wakitoa ofa za kutosha kwa wateja wao ambao ni wapya mara kwa mara, Awamu hii wameamua kuweka kiwango kizuri... Read More
Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Mhe. Jahi (Rufaa) Mbarouk S. Mbarouk. Chifu wa Mkoa wa Pwani Salim Mashimb Na Khadija Kalili Michuzi TV MAKAMU Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Mhe.Jaji (Rufaa) Mbarouk S. Mbarouk amesema wananchi wanatakiwa kujitokeza kuboresha taarifa zao kwenye daftari la mpigakura ndani ya siku... Read More
Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Mhe. Jahi (Rufaa) Mbarouk S. Mbarouk. Chifu wa Mkoa wa Pwani Salim Mashimb Na Khadija Kalili Michuzi TV MAKAMU Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Mhe.Jaji (Rufaa) Mbarouk S. Mbarouk amesema wananchi wanatakiwa kujitokeza kuboresha taarifa zao kwenye daftari la mpigakura ndani ya siku... Read More