TIMU ya Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) imefanikiwa kurejesha matumaini ya Meshack Simeo, mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Namonge wilayani Bukombe mwenye ndoto ya kuwa daktari. Hatua hiyo inakuja baada ya wanasheria hao kutembelea shule hiyo na kutoa elimu ya sheria ambapo Meshack alitumia fursa hiyo kuelezea changamoto za kifamilia... Read More









