Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Dkt. Erasmus Kipesha akizungumza na waandishi wa Habari katika maonesho ya Uzinduzi wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014, Toleo la 2023 yanayofanyika leo 1,2025 jijini Dodoma. Na.Alex Sonna-DODOMA KATIKA kutekeleza Sera mpya ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 toleo la Mwaka 2023, Mamlaka... Read More










